Wahitimu pamoja na mlezi wa SEPSSA Mr. Benedict Mdabagi Katikati, wengine ni wawakilishi wa darasa la wanaohitimu (kushoto ni Dorothy Mmbaga na Kulia ni Norasco Benjamini)
Hongereni wa dada wa SEPSSA kwa kuhitimu tutawakumbuka kwa kuwa mstari wambele kuliongoza jahazi la SEPSSA
Hongereni wa dada wa SEPSSA kwa kuhitimu tutawakumbuka kwa kuwa mstari wambele kuliongoza jahazi la SEPSSA nendeni mkawe mabalozi wa zuri wa SEPSSA.
Hongereni wa dada wa SEPSSA kwa kuhitimu tutawakumbuka kwa kuwa mstari wambele kuliongoza jahazi la SEPSSA. Furaha yenu inaashiria kuwa mlijitahidi kufanya vizuri darasa mpaka mkafikia hapo tunawapongezeni sana.
Hongereni wana SEPSSA mlitokelezea kweli kweli
ReplyDelete