Thursday, June 19, 2014

SEPSSA GRADUATION 2014


 
Kulia ni Madam France Winfreda, anayefuata kushoto yake ni Mr. Mdabagi (Patron), anayefuatia ni Meneja wa Benki ya NMB Lushoto Mr. Emmanuel Kishosha (Mgeni Rasmi) na wamwisho kushoto ni Mwenyekiti wa SEPSSA Mr. Edward Ihonde 


Mwenyekiti Mr. Edward Ihonde (Kulia) na Katibu Ms. Stamili Balama (Kushoto) wa SEPSSA wakimsubiri mgeni rasmi wamkaribishe ukumbini
Wanahitimu wa SEPSSA wakiingia ukumbini wa shangwe na ndelemo kufurahia siku hii maana ni kama ndoto tu. Juzi tu tulikuwa first year na sasa tunawatangazia furaha yetu kuwa chini ya Mungu yote yanawezekana. Nikumuamini tu na mengine mwachie yeye
 Utake usitake sie tunawaaga na furaha yetu zaidi ni kuwa SEPSSA imetufanya tujitamboe zaidi nakujua majukumu yetu huko uraini. Tunaahidi tuchangamoto ya kuitatua.

Wazee wa SEPSSA (Osward Mkumbo- Kushoto, Wilbert Dismas- Katikati na Deogratius Batholomeo- Kulia) mmependeza sana hivyo mkaiwakilishe vema SEPSSA huku mtakakokuwa
Wadada wa SEPSSA wakionyesha furaha yao baada ya kuitumikia SEPSSA miaka mitatu. Hongereni sana tunawatakia majukumu mema huko mtakako kwenda na muiwakilishe vema SEPSSA.
Mwenyekiti  (Mr. Edward Ihonde) akitoa nasaha kwa wahitimu katikati ni mgeni (Emmanuel Kishosha) na Kulia ni Mr. Mdabagi - Patron
Baadhi ya Wahitimu wa SEPSSA katika picha ya pamoja

2 comments:

  1. Siku ya sikukuu ya mahafali huwa tunafurahia kwa kuwa Mungu ametupendelea sana maana kuna watu wengi hajafikia kwenye tukio hilo ila tunachotakiwa kujiuliza je, tupotari kwa kutumika? Je, tumepikwa vyakutosho ili tuliwe na wateja?

    ReplyDelete
  2. KWA KWELI WALIPENDEZA SANA JAMANI HATA MWAKA HUU IWE HIVYO

    ReplyDelete