Tuesday, June 6, 2017

Wanachama wa SEPSSA ndani ya Bunge la Tanzania

Members of SEPSSA wakiwa kwenye picha ya pamoja mbele ya Bunge la Tanzania, Dodoma, 2016. Walienda kujifunza namna Bunge la Jamhuri la Tanzania linavyofanya kazi na historia ya uanzishwaji wake.

Members of SEPSSA wakiwa na Mr. Frown Mgani katika mstari wa mbele na kusoto ni Benson Pius, Macklaud Mahenge anayefuata kulia kwa Mr. Mgani na kushoto kwa Mr. Mgani ni mwenyekiti wa SEPSSA 2016/2017 na wa mwisho ni Lazaro Nziku mbele ya ukumbi wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania

No comments:

Post a Comment